simiss
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 2,100
- 6,170
Anachangamshaga sana humu.
Kweli lakini ni hatari watu wanaona wakishua kumbe loh



Ee atahivyo anaonekana yupo na short temper sana.Sana....niliona convo iliyomletea likizo...walimtibua sana....
Aah mapema yote hiyo.By the way ngoja niwatakie nice night wandugu. Naangusha sasa hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ee atahivyo anaonekana yupo na short temper sana.
Kweli lakini ni hatari watu wanaona wakishua kumbe loh![]()
Ataivyo niwachache wanaoweza vumilia matusi.Kiaina
Ataivyo niwachache wanaoweza vumilia matusi.
Nikahisi nimeliona mimi tu.
Halafu wakishua wako kimyaaa


kumbe na ww ulishanote hiko kitu.We ungeweza kuvumilia matusi?Kweli lakini....
Hahaaa mimi sio mlinzi. Kawaida huwa nalala saa sita. Ni kama wiki mbili au tatu nakosa usingizi mapema. I know the reason, nadeal nayo tuAah mapema yote hiyo.
Ni stress nn zinakupa kunyima usingizi?Hahaaa mimi sio mlinzi. Kawaida huwa nalala saa sita. Ni kama wiki mbili au tatu nakosa usingizi mapema. I know the reason, nadeal nayo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukizoea levels unaziona za kawaida. Wanaofake wengi ni wale wanaowish kupata hiyo lifeNikahisi nimeliona mimi tu.
Halafu wakishua wako kimyaaa
True.. Nitakaa sawa ila nitakuwa nakuja humu kama kawaida maana ni popo paseeNi stress nn zinakupa kunyima usingizi?
Kama hauna ndio unatakiwa upambane sasa iliuwenacho ukiiga utapoteza muda na hela zako tu.Ukizoea levels unaziona za kawaida. Wanaofake wengi ni wale wanaowish kupata hiyo life
Sent using Jamii Forums mobile app