Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,786
- 45,266
Tusi la lugha mama ndio linauma zaidi...Inategemea mna mahusiano gani ila wanasemaga tusi la kizungu aliumi eti?![]()
Tusi la lugha mama ndio linauma zaidi...Inategemea mna mahusiano gani ila wanasemaga tusi la kizungu aliumi eti?![]()
Umeona kama mm nilivyokuwa na tizama.Tusi la lugha mama ndio linauma zaidi...
Loh umeamsha then unasepa lakini poa ulale salama bro.Usiku mwema wakuu, nimepita tuu.
Mzee church ulienda lakini?Kwaya ya Mt.Anna Yombo Dovya _ Mbingu zinahubiri.
Daah yaani najiona niko mawinguni kwa wimbo huu ulivyonigusa..Melody safi ujumbe na sauti nzuri
Ukweli sijaenda toka siku ya mkesha kutokana na afya..Mzee church ulienda lakini?
Aah! Ukupona tu mm nilijua ulishapona mzee aisee pole sana.Ukweli sijaenda toka siku ya mkesha kutokana na afya..
Bado najikongoja. Ahsante sanaAah! Ukupona tu mm nilijua ulishapona mzee aisee pole sana.
Pambana hommie uwende hata mwaka mpya.Bado najikongoja. Ahsante sana
Mungu yupo.. hope tutakua pamojaPambana hommie uwende hata mwaka mpya.
Amen.Mungu yupo.. hope tutakua pamoja
Uko poa?
Ahsante bro, hapa nilipo sijatulia ndio maana.Loh umeamsha then unasepa lakini poa ulale salama bro.
Na wewe imekuaje ukapita humu leo?
Acha na mm nilale zangu.Ahsante bro, hapa nilipo sijatulia ndio maana.
Usiku mwema wakuu, nimepita tuu.
Acha na mm nilale zangu.
Ahsante, halafu wewe unalala masaa mangapi kwa siku hivi?Mapumziko mema