JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ooh mm pia nilisoma imeniaffect siwezi soma bible ya kiswahill wkt zamn nilikuwa na nawza .

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ww kumbe ulipiga hayo mavitu wakati naanza aah nilikuwa naona simo gani tena hili! mbona matatizo tukawa tunakimbia lakini ikawekwa sheria wakristu wote kusoma lazima basi nikawa naingia kusoma kilazima baadaye nikawa navutiwa sana na hadithi za mule ndio nikaanza nakujia sass.
 
Back
Top Bottom