JamiiForums Usiku wa manane
Wewee..ndani kwangu hainogi eti..Yani Kuna kitu kinanishawishi nitoke hapa kitandani niufuate mziki ulipo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa je! Fanya ile kitu roho inapenda...

Ila kumbuka shetani ana nguvu... na katikati ya muziki ibilisi ndiyo kijiwe chake...

Usije ukafanya mambo ya "khanga moko inye ndembe ndembe, laki sii pesa million ya vocha"

Cc: mahondaw
 
Ndiyo nipo kufanya kitu roho inapenda..nimeshajikoki tayari kwenda kulisakata rumbaa.

Shetani anaanza kufanya kazi baadae usiku..aniache Kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom