Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Ila Leo unachapia kichizi.hata usipojiandaa kama imefika naimani atakufa mru
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Leo unachapia kichizi.hata usipojiandaa kama imefika naimani atakufa mru
Aah wapi..Wasi wasi ndiyo akili... embu shtuka toka usingizimi muda huo...
Uone kama hutakua na kijasho chembamba...
Cc: mahondaw
Nmechoka ndo maana niliaga
mida mm nalala isijekua kwako ndo kiza kinaingia sijui
Sina usingizi ila macho yananisumbua inabidi niweke simu pembeni ni force usingizi