Kama kawaida.Usiku mwendo wavipanya tu
[emoji23][emoji23][emoji23]Nitakupa ban ya unforgettable [emoji4]
Pesa zmeota mabawa
Subiria hiyo hasara 2020 jipange [emoji38][emoji38][emoji38] sawa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwako pia kesho ukale viungo pekee wali waachie[emoji23][emoji23][emoji23]Good night guy's
Kwako pia
Nmekwambia nitakupiga utapike vyote[emoji23][emoji23][emoji23]Subiria hiyo hasara 2020 jipange [emoji38][emoji38][emoji38] sawa.
Huku nilipo ni mwendo wa nyimbo za kukata mauno..zinashawishi mnoBinadamu kweli ni wagumu sana...
Kuna mahali vitu vyote vinafanyika kwa wakati mmoja...
Upande huu mziki mkubwa na nyimbo za kukatika mauno, upande mwingine walokole wanaomba na kukemea...
Cc: mahondaw
Tatizo sio uvivu..usingizi unanizidi maarifa.
Huku nilipo ni mwendo wa nyimbo za kukata mauno..zinashawishi mno
Sent using Jamii Forums mobile app