Hahaha sisi ndo tumekula.makombo ya siikukuu janaNipo.
Sikukuu ilishapita majuzi huko
[emoji2960][emoji2960] kimyakimyaNdio mida imefika.
Angusha taratibu
HahahahahahaNdiyo basi tena... umebakiwa na masaa machache sana...
La muhimu kamilisha usajili wa lini yako ya simu... kwa alama za vidole na kitambulisha wanachokitaka...
Cc: mahondaw
Hahaha sisi ndo tumekula.makombo ya siikukuu jana
Wacha kumtisha mwenzio.Hata nikinuna au nikiwa serious bado haitadilisha kitu...
Jitahidi usiwe unalala mida hiyo... or else utanyakuliwa... [emoji3]
Cc: mahondaw
[emoji23] mida mm nalala isijekua kwako ndo kiza kinaingia sijuiAngalau umekula.....kujazia jazia
hata usipojiandaa kama imefika naimani atakufa tu