Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
Unazingua [emoji38][emoji38][emoji38] pilau uliokula tatizo hilo.
Tafuta solution huu mchezo ni hatari unaoufanya kiafya nitakuelekeza vzr kesho.
Daktari yupo dubai ww kausha akirudi mwambie anipe ushauri[emoji23]Tafuta solution huu mchezo ni hatari unaoufanya kiafya nitakuelekeza vzr kesho.
Nitakuulizia kwa Dr then nitakupa mrejesho.Pilau mm silagi aisee
Nna njaa kweli ikishafika kuanzie saa8 tu shida
Mjini watu wanalalaga? [emoji38][emoji38][emoji38]Hamuoni kama dunia imeongeza speed ya kuzunguka...
Mwaka mpya unaingia muda siyo mrefu...
Siku hizi watu hawalali...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Cc: mahondaw
Hapo sawa ss nilihisi unataka kujidai doc kisa ulilock gar na nanii[emoji23][emoji23][emoji23]Nitakuulizia kwa Dr then nitakupa mrejesho.
Nazingua unajua tumelelewa na kuamini kuwa sikukuu lazima tule pilau kwahiyo kila mtu siku yaleo hata kama hukula pilau atatania kwa kusema umekula pilau.
Kausha [emoji38][emoji38][emoji38] nitakupa ban asaiv unajua?Hapo sawa ss nilihisi unataka kujidai doc kisa ulilock gar na nanii[emoji23][emoji23][emoji23]
Ufundi mechanics ulikuhusu
Ukitaka kujua watu hawalali pita mbagala, msimbazi japo pamepungua na buguruni chama usikuHamuoni kama dunia imeongeza speed ya kuzunguka...
Mwaka mpya unaingia muda siyo mrefu...
Siku hizi watu hawalali...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Cc: mahondaw
Majuzi niko mombasa hiace zinapita tu saa 2 zimepakia watu.
Buguruni hapakauki [emoji4][emoji4][emoji4]Ukitaka kujua watu hawalali pita mbagala, msimbazi japo pamepungua na buguruni chama
😭😂😂😂😂😂😂😂Hamuoni kama dunia imeongeza speed ya kuzunguka...
Mwaka mpya unaingia muda siyo mrefu...
Siku hizi watu hawalali...
😀😀😀😀
Cc: mahondaw
[emoji23][emoji23][emoji23]unanipa ban nikirudi nakushushia mvua ya kamusi utajutraaaKausha [emoji38][emoji38][emoji38] nitakupa ban asaiv unajua?
Usiku mwendo wavipanya tuBuguruni hapakauki [emoji4][emoji4][emoji4]
Nitakupa ban ya unforgettable [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23]unanipa ban nikirudi nakushushia mvua ya kamusi utajutraaa