Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,233
😀😀😀 si ulikataa kusema! Nikaona niingie mwenyewe kaziniMdogo wangu unachimba![]()
😀😀😀 si ulikataa kusema! Nikaona niingie mwenyewe kaziniMdogo wangu unachimba![]()
😂😂😂😂Habari za kuku ziishe jaman mpaka njaa imenza![]()
Kesho tu watakufa kama mbu vile ukipulizia dawa.Habari za kuku ziishe jaman mpaka njaa imenza![]()
Hatembei nmekwambia anaweza simama eneo moja masaa2 na zaidi na hua hata macho sju kichwa hasogezi hata umtishie jiweHata kumchinja hasumbui
Mimi pia napata mshaka,pamoja na hilo,ule uzi wa ku selfika pia ninautilia nashaka.
Oky ila mtu yupo kijijini hata kula yake shida atamlisha kuku?!Sio lazima ni msosi tu anapewa huyu wakienyeji na anakuwa nakilo 9
Huyu mchumba nikisanga.Ashukuriwe Goddes kwa kamba zake![]()
Hahahahaha toka hapaKesho tu watakufa kama mbu vile ukipulizia dawa.
😀😀Kitengo kileYupo kazini.
Mengine tuwaachie great thinker
Juzi nilipita pale,kesho nitawaangalia vizuriHatembei nmekwambia anaweza simama eneo moja masaa2 na zaidi na hua hata macho sju kichwa hasogezi hata umtishie jiwe
Nenda soko la kuku kisutu utawakuta kama wote
Wengi elfu30k
Angalia kwa umakiniJuzi nilipita pale,kesho nitawaangalia vizuri
Usibishe sasa hao wanafungwa na kupewalishe bora sio kama hao wengine.Oky ila mtu yupo kijijini hata kula yake shida atamlisha kuku?!
Mnajitisha 😀😀😀Mimi pia napata mshaka,pamoja na hilo,ule uzi wa ku selfika pia ninautilia nashaka.
SawaAngalia kwa umakini
.Habari za kuku ziishe jaman mpaka njaa imenza![]()
Unaanza kuwaza hot chicken wings and the likes 😀 😀
Ronny2010 alikuja hapa na njaa ila naona imeisha tyr.
Ndio ndio....me sikumsikia banaBuku jero tu?Ila hiyo mzee Jpm alipiga marufu jero na buku