JamiiForums Usiku wa manane
Nani kasema kilo 9 na ww

Kilo 9 wapo ila ni mtu anafuga kwake kuku wakilo9 ni hawa wanitwa kuku wajinga ambao unaweza muacha ubungo ukaenda kibaha ukarudi ukamkuta palepale na wengi hua weupe

Na anachukua muda sana kufika hatua ile

Kijijini nan atafuga hao kuku ss
Sio lazima ni msosi tu anapewa huyu wakienyeji na anakuwa nakilo 9
 
Basi ngoja niende ilala nikabebe second hand clothes niingie mzigoni singida
Nakwambia hv hautajuta watu wanamazao hawana nguo

Nenda hata iramba watakupa alizeti au mahindi

Au subiri mwakani msimu wa vitunguu uishe

Nenda utakuta watu wanakuja na kuku wanauza mpaka elfu3 uliosema ss huy ondo umpe nguo akunyime vitunguu hata gunia 2 lweli?!
 
Duuh nisawa ila lazima ujue soko lake liko wapi,kama hao kuku uwe angalau na hotel unapeleka
 
Back
Top Bottom