Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Safi sana,lete nyingine mkuu
Ngoja watu wa mwanza na mbeya watusaidieKuku wakienyeji anakua mkubwa mithili ya mbuzi akitembea mpaka kishindo
Huitwa kuchi
Pia ni maarufu mwanza na mitaa ya huko, mbeya pua
🤣🤣🤣🤣🤣
damn
Huwa anasema ni muda wa palizi huuRonny2010 naona unapita tuu, hautusalimii wakubwa zako 😀
Ujaona kuku bado ww kuku anakilo 9 nakumbuka xmas ya mwaka hana my sis alikuja na kuku wa kilo 4.Kuku wakienyeji anakua mkubwa mithili ya mbuzi akitembea mpaka kishindo
Huitwa kuchi
Pia ni maarufu mwanza na mitaa ya huko, mbeya pua
Hiyo ni literature mkuu 😀 😀Watu wa phys hamuwezi kutuacha salama.
Ni huyo Ronny2010 ss anapita kukagua kama walinzi tumesharipoti maeneo ya kazi
Vijana wakinondoni hao.Mambo ya dar
Palizi gn saizi?Huwa anasema ni muda wa palizi huu
Kuna watu siwaoni sijui ndio wamechange ID![]()
Kuku wakienyeji anakua mkubwa mithili ya mbuzi akitembea mpaka kishindo
Huitwa kuchi
Pia ni maarufu mwanza na mitaa ya huko, mbeya pua
Huyo kuchi ni mkubwa achana na yale mabata ww unayoyaongelea tunaongelea kuku mkubwa mithili ya mbuzi jaribu kupata pichaUjaona kuku bado ww kuku anakilo 9 nakumbuka xmas ya mwaka hana my sis alikuja na kuku wa kilo 4.
Ewaaaa karibia rasmi ssKikosi kimekamilika sasa
Somo silipendi hiyoHiyo ni literature mkuu 😀 😀
Huwa anasema ni muda wa palizi huu
Vijana wakinondoni hao.