Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,953
Ooh huku napaona kawaida tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishaanza sikia baridi navuta shuka hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishaanza sikia baridi navuta shuka hapa.
😆😆😆 itakuwa vzr akifafanua.Utakuwa unawaza mambo makubwa makubwa ambayo hayatekelezeki mkuu
Ayaaaaaaa neno baya hilo no love hapo
Wapi upo ni dar?
Ayaaaaaaa neno baya hilo no love hapo
Nawe kwako pia humu tunawalinda watu wote wa JF.Huu uzi haulali.. ngoja nipite tu
Usiku mwema wanduguuu [emoji4][emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nipo dar msijali kesho itakuwa zamu yenu.
Sawa mwache tu kama kuku wa kienyeji
Lakini nyie si majuzi tu imenyesha hapo kwenu?
Akipata kideri ni sawa tu...maana kachagua ujiinga
Lakini nyie si majuzi tu imenyesha hapo kwenu?
Akipata kideri ni sawa tu...maana jachagua kuku jinga
Unakaa kihonda,mazimbu,au wapi?
Kwa kuwa hajali sitaki simtibu