Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
mm nimekaa sana hapo moro mjini.
mm nimekaa sana hapo moro mjini.
Mpaka arudi nyumba
Yes nna stress kiasi,ila ni mambo ya kawaida tu mkuu.Utakuwa unawaza mambo makubwa makubwa ambayo hayatekelezeki mkuu
Kashalala huyu mwanachi
Mkuu mke wa boss wetu huyomm nimekaa sana hapo moro mjini.
Karibu tupo nasie tuliokosa usingizi
Ningelikutafuta,sema kesho naondoka
Niko gud tu naona ndio uko umeshavurugwa na stress hapo.
Kunywa maji mengi
😆😆😆😆 hongera yake.Mkuu mke wa boss wetu huyo
We jifanye atarudi..wewe rudi nyumbani acha maigizo
Kashalala huyu mwanachi
maisha haya hayaitaji kuwaza sana
Tutapangwa lindo mpaka tukomehongera yake.
Yupo namuona anadhurula sana tatizo mambo mengi kama ungawangano huyo.