JamiiForums Usiku wa manane
Kazi yenyewe unashindia pc tu bira saiz ndio nimemaliza sasa nipo likizo.
Kujihami ni muhimu mkuu,kuna bi mdogo wangu mmoja alikuwa na hilo tatizo na alikuwa anavaa miwani baada ya kukutana na mimi na kumuwekea mazingira ya kuwa bize na kuacha kutumia muda mwingi kwenye vitu vya mwanga....sasa hivi hata miwani havai tena
 
Kazi inataka computer sasa bola comp hakuna kazi unafanyaje sass hapo tena.
 
Back
Top Bottom