Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Pambana tu mzee.Tutapangwa lindo mpaka tukome
Pambana tu mzee.Tutapangwa lindo mpaka tukome
We endelea
Tupambane wote mkuuPambana tu mzee.
😆😆😆😆 sasa ushasema ni chizi sio timamu huyo kabisa kamata peleka Dodoma huko.KUNA CHIZI MMOJA ANASEMA,KULALA NI KUUFANYA MWILI UOZE ...KWA HIYO KWAKE KULALA NI MWIKO
Yupo namuona anadhurula sana tatizo mambo mengi kama ungawangano huyo.
mm nakuacha humu mvua ishapamba moto nalala kabisa saiz.Tupambane wote mkuu
Dah Acha mm nilale saiz.
mm nakuacha humu mvua ishapamba moto nalala kabisa saiz.
Mchunge bibie huyo financial services usilale anatakiwa asiamke na stress huyo.
Thanks gal.
Sawa nitamchunga sema kikorofi