Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Piga kahawa kabisa mzee 😆😆Ngoja niote moto maana mkuu lindoni baridi sana
Piga kahawa kabisa mzee 😆😆Ngoja niote moto maana mkuu lindoni baridi sana
Ikinyesha mchana watu wanalalamika mishe aziendi kabisa.
Fanya adjustment kwenye mwanga,pia kama ni zile kompyuta zenye taa za on jaribu kuziba ule mwanga ata kwa karatasiKazi inataka computer sasa bola comp hakuna kazi unafanyaje sass hapo tena.
Nishaanza sikia baridi navuta shuka hapa.
Lete na kashata mkuuPiga kahawa kabisa mzee![]()
Rudi nyumbani ukalale...ukibaki lindoni utaibiwa mke na majiraniNgoja niote moto maana mkuu lindoni baridi sana
Natumia dim kabisa.Fanya adjustment kwenye mwanga,pia kama ni zile kompyuta zenye taa za on jaribu kuziba ule mwanga ata kwa karatasi
Abiria chunga mzigo wako
Kipo kisado kabisa cha kashata.Lete na kashata mkuu
Nimempigia whatsap videocall usalama upo mkuu,tuendele kulindaRudi nyumbani ukalale...ukibaki lindoni utaibiwa mke na majirani
Usiwenao tu sio dhambi
Karibu tupo nasie tuliokosa usingizi
Kwahiyo wewe unamchunga nani nataka kujua mzigo wako
Kwahiyo wewe unamchunga nani nataka kujua mzigo wako
Utakuwa unawaza mambo makubwa makubwa ambayo hayatekelezeki mkuu
teyari kashasaidia ujamsikia alivyokuwa analalamika juu hapo 😆😆😆Rudi nyumbani ukalale...ukibaki lindoni utaibiwa mke na majirani