Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,952
😆😆😆 kuna mpemba mke alimkimbia mbagala hapo kila akiingia ndani anaweka tu.ha ha ha halafu uzalishaji unakuwa sifuri
ha ha ha kinachofuata hapo ni macho kuchomoka na kuachana na kichwaNilishapewa glass nikiwa o level
ha ha ha ha😆😆😆 kuna mpemba mke alimkimbia mbagala hapo kila akiingia ndani anaweka tu.
Aaah kwanza we sio mpenzi sana wa action.
Acha kuniombea mabaya sasaha ha ha kinachofuata hapo ni macho kuchomoka na kuachana na kichwa
hayawezi kutokea mkuu...punguza mionzi ya mwanga si mizuri sanaAcha kuniombea mabaya sasa
mm huwa napenda sana sana series naweza hata kesha nikiangalia single movie unaanglia alafu nakuwa bado na hamu ya movie.
Yupi huyo tena?Jamani nani kagonga mchumba wangu nauliza nauliza
ha ha ha ukiona bosi wako anakupangia lindo usiku kila mara jua ya kuwa ndio adui wako namba mojaJamani nani kagonga mchumba wangu nauliza nauliza
mm huwa napenda sana sana series naweza hata kesha nikiangalia single movie unaanglia alafu nakuwa bado na hamu ya movie.
Jamani nani kagonga mchumba wangu nauliza nauliza
Kazi yenyewe unashindia pc tu bira saiz ndio nimemaliza sasa nipo likizo.hayawezi kutokea mkuu...punguza mionzi ya mwanga si mizuri sana
Nimegundua mkuu naumia..adui wangu wa kwanza ni boss wanhu,kuna manzi yangu humu boss kapitaha ha ha ukiona bosi wako anakupangia lindo usiku kila mara jua ya kuwa ndio adui wako namba moja
Nipo nae lindon sema kaja na dalili zote kamegwaYupi huyo tena?
Kashtuka kutoka ndotoni alafu karudi tena usingizini 😆😆😆😆
Ahhhh kumbeeeeeee