Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,340
- 56,053
Nitajitahidi sana niwe nakuja lindoni,ila hofu yangu nitaibiwa jiko na jirani nikiwa lindoniSafar njema na karibu tena lindoni
Nitajitahidi sana niwe nakuja lindoni,ila hofu yangu nitaibiwa jiko na jirani nikiwa lindoniSafar njema na karibu tena lindoni
Hao tena kwakulilia sio mchezo 🙌Hahaha mm nmezizoea hizo za uhalisia sana ni wahindi . i prefer hollywood movies more
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaendekeza sana mapenzi we mzee 🙌🔥🔥Nitajitahidi sana niwe nakuja lindoni,ila hofu yangu nitaibiwa jiko na jirani nikiwa lindoni
Babuu we chati na mkono mmoja mkono mmoja ushike jiko lisiondoke weyeeeNitajitahidi sana niwe nakuja lindoni,ila hofu yangu nitaibiwa jiko na jirani nikiwa lindoni
Hao tena kwakulilia sio mchezo![]()
ha ha ha ha wazo zuri nitalifanyia kaziBabuu we chati na mkono mmoja mkono mmoja ushike jiko lisiondoke weyeee
Nilishapita nayo haiku kali kiivyo.Wamezidi last year ndo mara mwisho kuangalia movie ya kihindi inaitwa jab harry met sejal .
Sent using Jamii Forums mobile app
ha ha ha si unajua mkuu hata simba akiwa mkali vipi....hugongwaUnaendekeza sana mapenzi we mzee 🙌🔥🔥
Wasalimie maex zako wote baharia.ha ha ha ha wazo zuri nitalifanyia kazi
Usiwe mzanzibari au mtanga wale wanashinda na misuli tu muda wote.ha ha ha si unajua mkuu hata simba akiwa mkali vipi....hugongwa
ha ha ha ha nikupatie mmoja?Wasalimie maex zako wote baharia.
ha ha ha halafu uzalishaji unakuwa sifuriUsiwe mzanzibari au mtanga wale wanashinda na misuli tu muda wote.
Nimedownload commando 3 lakini bado sijaangalia ipo tu naitafutia mood.
Safi sana angalia usipofuke macho tuNimedownload commando 3 lakini bado sijaangalia ipo tu naitafutia mood.
Nimedownload commando 3 lakini bado sijaangalia ipo tu naitafutia mood.
Baadaye nimenoga nimekorea uje utake ukumbishie enzi upashe kiporo unilize ufurahi tu kwakunikomesha 😆😆😆😆ha ha ha ha nikupatie mmoja?
Ulishaangalia hata 1 & 2
Nilishapewa glass nikiwa o levelSafi sana angalia usipofuke macho tu
Ndio maisha yaliyobaki mkuu....kujenga kiwanda ni kipaji mkuuBaadaye nimenoga nimekorea uje utake ukumbishie enzi upashe kiporo unilize ufurahi tu kwakunikomesha 😆😆😆😆