Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,211
- 40,661
Haiwezi kuoza iko salama kabisaUlake salama mnigeria wa milimani
Zawad yangu haiozi hio nitaifata tu
Haiwezi kuoza iko salama kabisaUlake salama mnigeria wa milimani
Zawad yangu haiozi hio nitaifata tu
😆😆😆😆😆 sawa kama umeamua kunipa huo msalaba.Haaaha aku mm silali kituoni ww uza mpira tu
ha ha ha nitakukumbushaHili nitakwambia kesho
Huwa wanaweka jukwaa nje,wanapiga live band.........Mandela road njiani kabisa hapoClub haina sound proof?!
ww unapenda ipi nazipi au nimlevi kabisa yeyote tu unaangalia?
Sawaha ha ha nitakukumbusha
Sio hapo nn ''mi casa'' eh?! Au sio hapoHuwa wanaweka jukwaa nje,wanapiga live band.........Mandela road njiani kabisa hapo
YeahSio hapo nn mi casa eh?! Au sio hapo
Kuuumbe haya lalaYeah
Love story zina liza sana nakuumiza mtu anacat mpaka mtazamaji huku unachukua kabisa ile feelings unahisi kama ni ww aah hizo siziwezi kwakweli.Action siziwez sana i prefer love storie ,comedy , thriller horror
Sent using Jamii Forums mobile app
Una mchepuko nn maana wwJamani nataka niwaachie lindo nikaendeleze sebene langu huko mtaa wa kati

✋🏿✋🏿Kuuumbe haya lala
Unaenda kwenye singeli nn sema kama unakaa TMK 😆😆😆😆😆Jamani nataka niwaachie lindo nikaendeleze sebene langu huko mtaa wa kati
ha ha ha hapana mkuu,natakiwa saa kumi na mbili kamili nisafiriUna mchepuko nn maana ww![]()
Safar njema na karibu tena lindoniha ha ha hapana mkuu,natakiwa saa kumi na mbili kamili nisafiri
huko si kuzuri unaweza kupigwa chupa mkuuUnaenda kwenye singeli nn sema kama unakaa TMK 😆😆😆😆😆
Love story zina liza sana nakuumiza mtu anacat mpaka mtazamaji huku unachukua kabisa ile feelings unahisi kama ni ww aah hizo siziwezi kwakweli.
Thanks dude 🙏Mlale salama na mpate usingizi usiokuwa wa mang'amu ng'amu