Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Ataenda central pekeyake 😆😆😆😆 akatoe maelezo vzr.Hahahaha utawajibika shauri zako
Ataenda central pekeyake 😆😆😆😆 akatoe maelezo vzr.Hahahaha utawajibika shauri zako
Kausingizi kananiiba iba kwa mbaaliUmeenda kulala
Ila nmeacha kuangalia[emoji23]Yah nimeiona hiyo ilikuwa nzuri kuna moja ya filipino The Blood Sisters ni triplets pia ina action hatri .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila mtu ajua kutoa raha bwana weeehha ha ha ha huwezi kufa bali utapata ile furaha ya hawa pale bustanini
Kama zote lete.
Tuwatumie jamani...wameletwa hapa duniani kupendezesha dunia kama uaridi😆😆😆😆 njouchukue we siunamichepuko mingi.
Eeeh milimani mnalalaga saa ngapKausingizi kananiiba iba kwa mbaali
Ww sindo mkuu wakikosiAtaenda central pekeyake [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] akatoe maelezo vzr.
we sio kijana wakino kweli wazee wa chips vumbi mayonize salad urojo nk..Tuwatumie jamani...wameletwa hapa duniani kupendezesha dunia kama uaridi
ha ha ha ili raha ipatikane anatakiwa afanye niniSio kila mtu ajua kutoa raha bwana weeeh
😆😆😆😆 umenitoa chambo wakati we ndio supervisor hapa.Ww sindo mkuu wakikosi
Hili nitakwambia keshoha ha ha ili raha ipatikane anatakiwa afanye nini
Kuna miziki naisikia toka club moja hapo inabembeleza tu......Eeeh milimani mnalalaga saa ngap
Kesho weeekend jikaze
Haaaha aku mm silali kituoni ww uza mpira tu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] umenitoa chambo wakati we ndio supervisor hapa.
ha ha hahawe sio kijana wakino kweli wazee wa chips vumbi mayonize salad urojo nk..
ww unapenda ipi nazipi au nimlevi kabisa yeyote tu unaangalia?
Club haina sound proof?!Kuna miziki naisikia toka club moja hapo inabembeleza tu......