Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,211
- 40,661
😂😂😂Mabaharia hatuna wenza tunafarijiana
😂😂😂Mabaharia hatuna wenza tunafarijiana
Inaweza kua mbaya pia si unajua trailer hua wanazipamba sana
Umeshaanza kuleta theory za Bios from 4 drawn na lamackha ha ha tumieni viungo mlivyopewa bure...msipovitumia vitapotea
We jifariji tu,na ole wao wanaogeuza usiku kuwa mchana...watakiona cha mtema kuni siku ya mwisho
Frozen moto haiwezi kuwa mbaya.Inaweza kua mbaya pia si unajua trailer hua wanazipamba sana
Sasa ndio muda wa kuzitumia....visije vikapotea mkasema sikuwakumbushaUmeshaanza kuleta theory za Bios from 4 drawn na lamack
We jifariji tu,na ole wao wanaogeuza usiku kuwa mchana...watakiona cha mtema kuni siku ya mwisho
Qengine hatuzipati kirahisi hizoha ha ha Mungu anawaona kwa kutotumia mali alizowapa,ngoja aje ang'oe hivyo viungo vyake
Ndio2
😆😆😆 ww kitumie tu unajua kitu kinavyozidi kutumika ndio kinazidi kuchakaa hawa wanawake wasasa wana madharau mabaya kweli yaan ilelelo la kibamia ukiambiwa unanyongonyea kabisa yaan.Sasa ndio muda wa kuzitumia....visije vikapotea mkasema sikuwakumbusha
Mi nawakumbusha tu,siwaonei wivu kwa kuutesa ekalu(mwili) uliopewa bure
Bora umejijibutwende mbele na kurudi nyuma, skiliza nyimbo zoooteee utazisahau ila ukiskia mlio wa mahaba sijui mtu anaguna chumba cha pili yaanii sauti inajirudiaga tu kichwani na usingizi haujii kabisa. AU NI MIMI TU NA UMALAYA WANGU?




ha ha ha wa kuoa aoe na wakuolewa aoleweQengine hatuzipati kirahisi hizo
Jumanji....Next level.Ronny2010 leo huna movie au ndio upo Rehab?
Leo umepotea watu tupo tunashinda kahawa tu hapa 😆😆😆 sasa ww kazi unayo.ha ha ha ha nyie hamlali mnafikiri mnamkomoa nani....
Kevin hart yupo humo