Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,232
- 40,733
0100
Duuhhuu muda hua nna enjoy ku edit picha za nanilu maana nna zoom kila kona
Movie mm naona uvivu hata maana nishamaliza zote nzuri mwaka huu[emoji23] nasubiri frozen na cats nifunge mwaka
Hahahahaa nivunje mgongo mm ukimbieFanya ivyo kwakweli ili nianze kutafuta bride price
sisi wote mabahariaHuu ni muda wa kula tunda la kati,ina maana nyie mko singo!
😆😆😆😆 na ww upo singo unafanya nn humu saiz?Huu ni muda wa kula tunda la kati,ina maana nyie mko singo!
Movie mm naona uvivu hata maana noshamaliza zote nzuri mwaka huu[emoji23] nasubiri frozen na cats nifunge mwaka
Hapana why nikuoverwork kiasi hicho?Hahahahaa novinje mgongo mm ukimbie
Uliza tuenhee afu nna swali ngoja niulize hapa
😂😂😂😂😂 umenichekesha kinomaHahahahaa nivunje mgongo mm ukimbie
Picha za babe wako au au mbudahuu muda hua nna enjoy ku edit picha za nanilu maana nna zoom kila kona
Nakuja kuazima blanketHii hali yahewa inakucomfort kabisa mtu ulalae maana joto hakuna kabisa leo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenichekesha kinoma
Ndio muda wa dereva huu kushika usukani iwe fuso,suzuki n.k ili mradi ifike inapotakiwa kufika....kuna nini huko kwenu jamani,mbona mida hii mko huku?sisi wiye mabaharia
Basi tusubiri frozen2 watoe blue rays