Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 6,151
- 6,449
Tawi la wapi Mazee.?Kabisa
Tawi la wapi Mazee.?Kabisa
Aisee naimani nitapaona hata kwa picha tu
Ukonga.Tawi la wapi Mazee.?
Nenda kwa ndege kitonga unaikwepa tu mm baadhi ya ndugu zangu walikuja kwandege waoga kama ww.Aisee naimani nitapaona hata kwa picha tu
[emoji23][emoji23] ndo kilichobakiNenda kwa ndege kitonga unaikwepa tu mm baadhi ya ndugu zangu walikuja kwandege waoga kama ww.
Aah dada yangu hakika pesa alipata jamani uleusiku alikuwa milionea lakini ishu sio pesa watu wambeya huo ndio utaratibu wao mm siniliuliza wakasema huku ndio kawaiya yetu lazima iweivyo.Wanapesa basi[emoji23][emoji23] sheria bila pesa haiendi
Alafu pia muda ni mchache sana dk 90 tu.[emoji23][emoji23] ndo kilichobaki
[emoji23][emoji23] ngoja nitafute nwakalinga wangu nipate kupendeza doubleAah dada yangu hakika pesa alipata jamani uleusiku alikuwa milionea lakini ishu sio pesa watu wambeya huo ndio utaratibu wao mm siniliuliza wakasema huku ndio kawaiya yetu lazima iweivyo.
HaaaahaAlafu pia muda ni mchache sana dk 90 tu.
Maisha yetu walinzi tabu tupu
Hawa majamaa hawana dogo zawadi ndogo nikama mill 1 hadi 2 hivyo ni vikundi tu na vilikuwa kama 12 Hv bado kamati hapo sasa.[emoji23][emoji23] ngoja nitafute nwakalinga wangu nipate kupendeza double
0334
Hongera zakeHawa majamaa hawana dogo zawadi ndogo nikama mill 1 hadi 2 hivyo ni vikundi tu na vilikuwa kama 12 Hv bado kamati hapo sasa.
Tafuta hela uchukue mwewe mpaka mbeya hapo.Haaaaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha uwoga ww kama same unapita unaogopa nn sasa?[emoji23][emoji23][emoji23] nikashbgae milima nipate presha nikufe