Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Ee ila iringa [emoji23][emoji23][emoji23] mji upo mlimani ndio mjini huko unapandisha mlima na magorofa yapo huko mji waajabu sana nao ule.Mbeya mjini kuna milima?!
Ee ila iringa [emoji23][emoji23][emoji23] mji upo mlimani ndio mjini huko unapandisha mlima na magorofa yapo huko mji waajabu sana nao ule.Mbeya mjini kuna milima?!
Nako kuna korongo,sasa kama huko umeweza utashindwaje kitonga?Yaleyaleee ya same na mwanga[emoji23][emoji23][emoji23]
Sana nilipandisha mt uluguru yaan jasho linakutoka alafu labaridi sasa [emoji4][emoji4][emoji4]Ukipata sehemu yenye uoto wa asili na hapajaharibiwa na human activities unaenjoy
Achana na mt uluguru ww kuna sehemu panaitwa tchenzema naskia wanamilima mikali hata wapare hawabishi hiloHmm uwongo umeadisiwa ww mm moro naijua vzr sana na nimepanda mt uluguru.
Dah?! Kwani ghorofa hazitakiwi milimani?!Ee ila iringa [emoji23][emoji23][emoji23] mji upo mlimani ndio mjini huko unapandisha mlima na magorofa yapo huko mji waajabu sana nao ule.
Ipo,tena ofisi ya RC,RPC,hospital ya mkoa zote zilipo lazima upande vilima vidogo vidogoUkimaanisha milima ipo au hakuna?!
Huko sikua naskia story zao ss kama kitongaNako kuna korongo,sasa kama huko umeweza utashindwaje kitonga?
[emoji23][emoji23][emoji23] sijui mm kama utaenda au utaenda unaweza fuata ndoa huko mbona mm dada yangu kaolewa huko ndio tulienda mwezi wa 10.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uaitegemeee ntaenda huko mm
Pamekaa vibaya sana iringaEe ila iringa [emoji23][emoji23][emoji23] mji upo mlimani ndio mjini huko unapandisha mlima na magorofa yapo huko mji waajabu sana nao ule.
Sijajua upi ni mrefu kati ya hiyo.Achana na mt uluguru ww kuna sehemu panaitwa tchenzema naskia wanamilima mikali hata wapare hawabishi hilo
Kwani katiki safu za mikilima uluguru sindo mrefu?!
Sema ukipita moro unaona milima yote imefunikwa na mawingu
AiseeeeIpo,tena ofisi ya RC,RPC,hospital ya mkoa zote zilipo lazima upande vilima vidogo vidogo
Hahahahaha ungelinywa tuSana nilipandisha mt uluguru yaan jasho linakutoka alafu labaridi sasa [emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23] nilishangaa Sana ndio mjini juu ya mlima.Dah?! Kwani ghorofa hazitakiwi milimani?!
SanaPamekaa vibaya sana iringa
Sijawahi kuhesabu na inategemeana na uwingi wa malorry kwa wakati huo yanayopanda.....maana inakuwa foleni.....approximately ni 15-20 minutesHuko sikua naskia story zao ss kama kitonga
Kwan kitonga kuivuka ni dh bgapi?!
Ee ila iringa [emoji23][emoji23][emoji23] mji upo mlimani ndio mjini huko unapandisha mlima na magorofa yapo huko mji waajabu sana nao ule.
Nilikula strawberry zakutosha unachuma unakula tu bure.Hahahahaha ungelinywa tu
Qnitaomba mume anifate maana nna accrophobia[emoji23][emoji23][emoji23] sijui mm kama utaenda au utaenda unaweza fuata ndoa huko mbona mm dada yangu kaolewa huko ndio tulienda mwezi wa 10.
Hahahaha siendiiii wala sitarajii kwendraaa[emoji23][emoji23][emoji23] nilishangaa Sana ndio mjini juu ya mlima.