Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,057
Kweli umekaa kitalii sana.
Kweli umekaa kitalii sana.
Ahhh parefu sanaSijawahi kuhesabu na inategemeana na uwingi wa malorry kwa wakati huo yanayopanda.....maana inakuwa foleni.....approximately ni 15-20 minutes
Iringa?!
Kona nyingiAhhh parefu sana
Sawa dream of bedbugs bwanaWapendwa kesho,naona naweza anza kutype vitu vya ajabu hapa.....gudi naiti
Qnitaomba mume anifate maana nna accrophobia


ndoa zao ni changamoto sana dah siwezi sahau.Kweli umekaa kitalii sana.
Dah siwezi hukoKona nyingi
Hahahaha ilikuaje ya sisterndoa zao ni changamoto sana dah siwezi sahau.
Poa hommie nawe pia.Wapendwa kesho,naona naweza anza kutype vitu vya ajabu hapa.....gudi naiti
Kitu ambacho kinanikera sasa njia ile anayekuja umuoni Alafu watu wanatembea kinoma.Kona nyingi
😎Sawa dream of bedbugs bwana
Aah picha limeanza tumeenda kanisani saa 8 tumetoka nikajua tunaenda ukumbini maana mm nikasema mbona church mapema sana leo basi tumetoka church bhana tukaenda location kupiga picha tu basi tukatoka hapo tukaenda nyumbani kwa mume tukala sana kuku na makolokolo mengine ukapigwa sana mziki hapo nje hapo baada ya hapo ndio tumeenda ukumbini bibi harusi kaingia saloon mara 2 na gauni kabadili mara 2 ndio sheria zao. GoddessHahahaha ilikuaje ya sister
Bila shaka matawi yote yapo salama...
Hapa Asia kila kitu Alhamdulillah...
Hapa nairobi nipo salamaBila shaka matawi yote yapo salama...
Hapa Asia kila kitu Alhamdulillah...
Amani kwako Kaputeni.. OvaHapa nairobi nipo salama
Wanapesa basiAah picha limeanza tumeenda kanisani saa 8 tumetoka nikajua tunaenda ukumbini maana mm nikasema mbona church mapema sana leo basi tumetoka church bhana tukaenda location kupiga picha tu basi tukatoka hapo tukaenda nyumbani kwa mume tukala sana kuku na makolokolo mengine ukapigwa sana mziki hapo nje hapo baada ya hapo ndio tumeenda ukumbini bibi harusi kaingia saloon mara 2 na gauni kabadili mara 2 ndio sheria zao. Goddess

sheria bila pesa haiendi