Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,209
- 40,651
Alisema yupo busy na kaziBradha umekimbia
Alisema yupo busy na kaziBradha umekimbia
Bakwambia hv ile njia siipendi mara ya mwisho nmepita nililia ilikua usiki saa3 nmetoka mbezi gari inakimbizwaaa kama nn sijui ukikaa kwenye tairi utaimba na makopoTulitaka kumgonga mtu hapo majumba 6 mama anavuka kwenyewe kona kali eti. Kinyerezi watu wanatembea kinoma alafu tuta chache mno.
Hapana,sasa huko si unakuwa unaenda kwa kipindi fulani tuUnajua shida ni mazoea tu
Shimo vipi sijarlewa unamaanisha hini huoni hata miti?!Miaka hii ndiyi wametanua kidogo siyo kama zamani......yaani upande wa ukutani ni mawe tupu,upande mwingine ni shimo refu
Ahaaa kumbeAlisema yupo busy na kazi
Miti ipo ila ni korongo refu kwenda chiniShimo vipi sijarlewa unamaanisha hini huoni hata miti?!
YeahAhaaa kumbe
Unafana na shemeji yangu nimuoga huyo gari zipo kwake lakini hataki kuendesha walakujifunza yy anapenda aendeshwe tu.Bakwambia hv ile njia siipendi mara ya mwisho nmepita nililia ilikua usiki saa3 nmetoka mbezi gari inakimbizwaaa kama nn sijui ukikaa kwenye tairi utaimba na makopo
Bora ukar sana uzoeee milimaHapana,sasa huko si unakuwa unaenda kwa kipindi fulani tu
natamani kwenda uluguru kule ndo naskia hakufai maana unapenda kumedunikwa na mawingu wenyeji wanapaita mbinguni naskia

Yaleyaleee ya same na mwangaMiti ipo ila ni korongo refu kwenda chini



Acha kabisa unaona miti kwa mbali Alafu mawenimakubwa mno mkianguka mnapondepondeka tu huko.Shimo vipi sijarlewa unamaanisha hini huoni hata miti?!
Mbeya mjini kuna milima?!Unafana na shemeji yangu nimuoga huyo gari zipo kwake lakini hataki kuendesha walakujifunza yy anapenda aendeshwe tu.
Ukipata sehemu yenye uoto wa asili na hapajaharibiwa na human activities unaenjoyBora ukar sana uzoeee milimanatamani kwenda uluguru kule ndo naskia hakufai maana unapenda kumedunikwa na mawingu wenyeji wanapaita mbinguni naskia
![]()
Acha kabisa unaona miti kwa mbali Alafu mawenimakubwa mno mkianguka mnapondepondeka tu huko.



usitegemeee ntaenda huko mmKumbeee
Hmm uwongo umeadisiwa ww mm moro naijua vzr sana na nimepanda mt uluguru.Bora ukar sana uzoeee milimanatamani kwenda uluguru kule ndo naskia hakufai maana unapenda kumedunikwa na mawingu wenyeji wanapaita mbinguni naskia
![]()
Siyo tambalaleMbeya mjini kuna milima?!
Sema sehemu zenye milima wachawi wengi naskiaUkipata sehemu yenye uoto wa asili na hapajaharibiwa na human activities unaenjoy
Ukimaanisha milima ipo au hakuna?!Siyo tambalale