Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Weeeh kumbe?!Unamuona wenzako yupo kule juu alafu ghafla anapotea humuoni tena.
Weeeh kumbe?!Unamuona wenzako yupo kule juu alafu ghafla anapotea humuoni tena.
Utazoea tuHapana milima mm hapana ukinistua tu naweza.piga kelele mpaka machozi huko si nitakufa ss
Kwann wasitanue?! Au haiwezekaniKukimbia siyo issue,ila kupishana ndiyo njia ndogo
Ndiyo ivyoIla tumeumbiwa kusahau ndo maana bus hamuachi kupanda
Tulitaka kumgonga mtu hapo majumba 6 mama anavuka kwenyewe kona kali eti. Kinyerezi watu wanatembea kinoma alafu tuta chache mno.Shida no gari zinavyokimbizwa na zile kona na vile vilima unaweza omba kushuka ila ukishuka utapanda nn karakara zote zinakimbia
Wanajidai wameizoea barabara sioMaajabu yakitonga pamoja na mlima mkali lakini madreva wezako wanaovertake kama kawaida wamelaaniwa madereva wa iringa na mbeya na tunduma na ruvuma huko.
[emoji23][emoji23][emoji23] ww huyu mpaka panya anaita pepo anakelele hatari anafagia 24hrs hataki uchafu [emoji23]Acha akusaidie kufukuza mapepo
Miaka hii ndiyi wametanua kidogo siyo kama zamani......yaani upande wa ukutani ni mawe tupu,upande mwingine ni shimo refuKwann wasitanue?! Au haiwezekani
Kwann[emoji23][emoji23][emoji23]Nimekuja na majinja,wale jamaa lazima bangi wanavuta
Imani mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] ww huyu mpaka panya anaita pepo abakelele hatari anafagia 24hrs[emoji23]
Unatanuaje sasa haiwezekani kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo ivyo
Mwendo wake si mchezo,sipandi tena kwakweliKwann[emoji23][emoji23][emoji23]
Pugu kwenye naogopa ile njia kuanzia njiapanda kampala kwenda majohe kwenda pugu pamekaa vibaya sana basi tuNa kimara, pugu kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23] ww huyu mpaka panya anaita pepo abakelele hatari anafagia 24hrs[emoji23]
Unajua shida ni mazoea tuHuwezi,mbona kuna WaTz wanaishi huko
Hili nalo nenoUtazoea tu
Hapatishi pale bhana kha! ww umezidi uwoga sasa.Pugu kwenye naogopa ile njia kuanzia njiapanda kampala kwenda majohe kwenda pugu pamekaa vibaya sana basi tu
Anaota saiz.Bradha umekimbia
Njia yangu sana ile kuna jamaa yangu anakaa maduka 6Pugu kwenye naogopa ile njia kuanzia njiapanda kampala kwenda majohe kwenda pugu pamekaa vibaya sana basi tu