Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,231
- 40,730
Yaani siku ile sitaisahau ilikuwa2013Hahahahaha kufa mchezo unafkiri ugali mtamu sana
Yaani siku ile sitaisahau ilikuwa2013Hahahahaha kufa mchezo unafkiri ugali mtamu sana
Ss hv ungekua history[emoji23][emoji23]Kama jana nikiwa naenda posta nikekutana na scaveter wanachonga watope tu jangwani pale na ile yard iliokaribu bado kidogo gari ziondoke na maji.
Unamuona wenzako yupo kule juu alafu ghafla anapotea humuoni tena.Waajabu kivipi mm sipendi milima kwa kweli
Hahaha milima imebeba vitu vingi sanaAcha kabisa kama tukio naliona live vile shetani wapale ni kiboko accident muda wote hapo.
Yes na Kimara,ila baadhi ya maeneo ya ubungo ni vilimaMilima ipo mbezi[emoji23] mbezi mwishoo
Muoga sana huyo bibie.Goddess fanya domestic tourism utaenjoy nyanda za juu kusini
Shida no gari zinavyokimbizwa na zile kona na vile vilima unaweza omba kushuka ila ukishuka utapanda nn karakara zote zinakimbiaAisee hiyo ndio short cut ukitoka kimara kwenda kigogo, chanika na goms unataka upite wapi ww [emoji23][emoji23][emoji23] ilembona sio milima.
Ataacha tuMuoga sana huyo bibie.
Kimara kwenda kigogo unazungukia malamba ma2?! Ile njia ni ndefu sana aiseeAisee hiyo ndio short cut ukitoka kimara kwenda kigogo, chanika na goms unataka upite wapi ww [emoji23][emoji23][emoji23] ilembona sio milima.
Kukimbia siyo issue,ila kupishana ndiyo njia ndogoShida no gari zinavyokimbizwa na zile kona na vile vilima unaweza omba kushuka ila ukishuka utapanda nn karakara zote zinakimbia
Maajabu yakitonga pamoja na mlima mkali lakini madreva wezako wanaovertake kama kawaida wamelaaniwa madereva wa iringa na mbeya na tunduma na ruvuma huko.[emoji23][emoji23]mnakufa kimasihara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitakufa mm jamanBasi nikileta posa,siku ya kwanza kufika kwetu utapiga simu wairudishe tu hata kama tumeenda kusalimia tu siku2,maana kwetu milima ni 85%
Acha akusaidie kufukuza mapepoJirani yangi anaefanya maomi kwa makelele usiku alishaanza ako na 30mnts anasali tu
Nlilitaka nimwambie hivyo hivyo.Basi nikileta posa,siku ya kwanza kufika kwetu utapiga simu wairudishe tu hata kama tumeenda kusalimia tu siku2,maana kwetu milima ni 85%
Nimekuja na majinja,wale jamaa lazima bangi wanavutaMaajabu yakitonga pamoja na mlima mkali lakini madreva wezako wanaovertake kama kawaida wamelaaniwa madereva wa iringa na mbeya na tunduma na ruvuma huko.
Na kimara, pugu kidogoMilima ipo mbezi[emoji23] mbezi mwishoo
Ila tumeumbiwa kusahau ndo maana bus hamuachi kupandaYaani siku ile sitaisahau ilikuwa2013
Huwezi,mbona kuna WaTz wanaishi huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitakufa mm jaman