Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,231
- 40,730
Mi nakusaidia bora chini kuliko dabo deka[emoji23][emoji23]mnigeria unaroho mbaya sana hautaki nilale kitandani kabisa
Mi nakusaidia bora chini kuliko dabo deka[emoji23][emoji23]mnigeria unaroho mbaya sana hautaki nilale kitandani kabisa
Ah jamaniiiiUtaenda kutia aibu kwa mume huko sasa inabidi tutafute njia mbadala ya kumaliza tatizo.
Acha nionekane mzee tu na mbaoKuna watu wanavisfia sana eti ina fashion mpya na vimekaa kutumika na vijana
Sjui kama huo mkoa nitakuja kwenda au iringa maana napaogopa kitonga naskia panatisha[emoji23][emoji23][emoji23] huyo anatakiwa akae hata mbeya hv maana sehemu zile ukilala ulipolala ndio panakuwa najoto ukiama kidogo unakutana na baridi upande wengine wakitanda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkeka unakufaa ww mlalavi.[emoji23][emoji23]mnigeria unaroho mbaya sana hautaki nilale kitandani kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91]Mi nakusaidia bora chini kuliko dabo deka
Napaelewa vizuri sanaAaah hapo mafinga baridi utazani kama mvua inanyesha viunyevu unyevu vinadondoka muda wote sio mchezo hapo.
Basi godoro tutafute inch12 ndo zuri kutupa chini[emoji23][emoji23] hata ukianguka hauanguki mbaliMi nakusaidia bora chini kuliko dabo deka
Saba tu zile mume anaweza amka akakuta mke haupokitandani kumbe umedondoka upo chini ya uvungu.Ah jamaniiii
Daah umenikumbusha mbali,mikeka daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkeka unakufaa ww mlalavi.
Mbao raha sema ghali[emoji23] ukiuziwa vile cyakukauka buguruni au tanduka bei cheee ss jidai una design ss utajuaAcha nionekane mzee tu na mbao
Hahaha mikeka ina watu wao wale mbao hawaumii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkeka unakufaa ww mlalavi.
Hamna usiogope bhana mm nilienda huu mwaka mwezi wa 10 kama unaogopa kitonga panda ndege mpaka mbeya.Sjui kama huo mkoa nitakuja kwenda au iringa maana napaogopa kitonga naskia panatisha
Yeah hilo litakufaa kwa kuweka chini...........au nchi sita ili uwe karibu na ardhiBasi godoro tutafute inch12 ndo zuri kutupa chini[emoji23][emoji23] hata ukianguka hauanguki mbali
Leo nimepita kitongaHamna usiogope bhana mm nilienda huu mwaka mwezi wa 10 kama unaogopa kitonga panda ndege mpaka mbeya.
Balaa lake zito hapo na makambako aaah.Napaelewa vizuri sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uiii ulaaaniwe villainSaba tu zile mume anaweza amka akakuta mke haupokitandani kumbe umedondoka upo chini ya uvungu.
[emoji23][emoji23][emoji23] ndege tausi auHamna usiogope bhana mm nilienda huu mwaka mwezi wa 10 kama unaogopa kitonga panda ndege mpaka mbeya.
Weeeeh ukiwa unaenda wap ukiwa unarudi nipigie picha naskia hua mnakaa kimya wote[emoji23][emoji23][emoji23]Leo nimepita kitonga
Kupanda mm siogopi ila kushusha ndio naogopa kinoma maana ni blake nyingi mpaka tairi za gari zinanuka tu.Leo nimepita kitonga