Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,841
Ebu usinichekeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Ebu usinichekeee[emoji23][emoji23][emoji23]
Maana unakuwa unajiona mjinga,huelewi what happened,unabaki kushangaa tuHaaha yani unahamaki ukiwa bado uko hini halagu kuamka ss sio leo
[emoji23][emoji23][emoji23] ulijua umesukumwa nn?Nilihamaki kama dk2 halafu nikarudi bed nikalala mwisho kabisa ukutani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Au awekewe kingo pembeni kama madaraja[emoji23]
Anakoroma huku Ana ng'ata ng'ata meno,hapo mm usingizi inakuwa zeroMtu hukoroma akiwa kalala hali au kalala vibaya[emoji38][emoji38] unalala tu ukimgusa ananyamaza
Hahahahaha ndo inavyokua eti kesho ukiamka ndo utatafakari usiku ilikuajeMaana unakuwa unajiona mjinga,huelewi what happened,unabaki kushangaa tu
mm kelele sitaki kabisa kitandani [emoji23][emoji23][emoji23] unakoroma kama radio ukiwa unasearch station bhana.Mtu hukoroma akiwa kalala hali au kalala vibaya[emoji38][emoji38] unalala tu ukimgusa ananyamaza
Naleta fundi asaidie kuweka mambo sawaEbu usinichekeee
mm nahama chumba kabisa.Anakoroma huku Ana ng'ata ng'ata meno,hapo mm usingizi inakuwa zero
Maana ni involuntary action,kila ukiwaza hupati majibuHahahahaha ndo inavyokua eti kesho ukiamka ndo utatafakari usiku ilikuaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengine wanaongeaAnakoroma huku Ana ng'ata ng'ata meno,hapo mm usingizi inakuwa zero
😂😂😂😂mm nahama chumba kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23] aweke double decker fundi.Naleta fundi asaidie kuweka mambo sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maana ni involuntary action,kila ukiwaza hupati majibu
Unatakiwa unamrecord mtu kama huyo monie unamsikilizisha sauti yake [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengine wanaongea
Secondary moja nilisoma boarding,kuna rafiki yangu alikuwa anaamka,mambo yote ya mchana anaongea kama dk1 hivi ndiyo anashtuka alikuwa mbishi kesho yake mkimkumbushia,alifariki (RIP) 2008 kabla hajaitimiza ndoto yake daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wengine wanaongea
Ndiyo solution pekee hasa kwa kipindi hiki technology iko juuUnatakiwa unamrecord mtu kama huyo monie unamsikilizisha sauti yake [emoji38][emoji38][emoji38]
Yani wakati nandondoka sikuelewa maana nmelewa usingizi ila asubuhi nikakumbuka nilikua nageuka inamaana mwili nusu upo kitandani nusu ndo unaelekea kukaa sawa mguu ukakosa pakushukia ukanyooka chini ndo nikaanguka[emoji23][emoji23][emoji23] ulijua umesukumwa nn?
Inabidi ujipe majibu tu mwili ulikosa balance nikaanguka[emoji23]Maana ni involuntary action,kila ukiwaza hupati majibu
Secondary moja nilisoma boarding,kuna rafiki yangu alikuwa anaamka,mambo yote ya mchana anaongea kama dk1 hivi ndiyo anashtuka alikuwa mbishi kesho yake mkimkumbushia,alifariki (RIP) 2008 kabla hajaitimiza ndoto yake daah