Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,231
- 40,730
Kale kadogo inaonyesha anarusha sana mateke 8/8 na kingo zake ndiyo zinamfaa Goddess[emoji23][emoji23][emoji23] aweke double decker fundi.
Kale kadogo inaonyesha anarusha sana mateke 8/8 na kingo zake ndiyo zinamfaa Goddess[emoji23][emoji23][emoji23] aweke double decker fundi.
Yeah,hamna namnaInabidi ujipe majibu tu mwili ulikosa balance nikaanguka[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani wakati nandondoka sikuelewa maana nmelewa usingizi ila asubuhi nikakumbuka nilikua nageuka inamaana mwili nusu upo kitandani nusu ndo unaelekea kukaa sawa mguu ukakosa pakushukia ukanyooka chini ndo nikaanguka
AmeenDah rest in peace [emoji120]
Ili nianguke nivunjike miguu na kiuno mm[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aweke double decker fundi.
Acha ku heka ss [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] huyo anatakiwa akae hata mbeya hv maana sehemu zile ukilala ulipolala ndio panakuwa najoto ukiama kidogo unakutana na baridi upande wengine wakitanda.Kale kadogo inaonyesha anarusha sana mateke 8/8 na kingo zake ndiyo zinamfaa Goddess
Na unavyorusha mateke,bora uweke godoro sakafuni tuIli nianguke nivunjike miguu na kiuno mm[emoji23]
Utaenda kutia aibu kwa mume huko sasa inabidi tutafute njia mbadala ya kumaliza tatizo.Ili nianguke nivunjike miguu na kiuno mm[emoji23]
Sijawahi vipenda vya chuma hata siku mojaKama ni chachma sitaki kinaumiza mwili na yle ma kingo[emoji23]
Anarusha mateke kama van dame bhana au Jet lee.Na unavyorusha mateke,bora uweke godoro sakafuni tu
Yeah kule kunamfaa,au hata mafinga pale,iringa mjini na njombe😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] huyo anatakiwa akae hata mbeya hv maana sehemu zile ukilala ulipolala ndio panakuwa najoto ukiama kidogo unakutana na baridi upande wengine wakitanda.
😂😂😂Anarusha mateke kama van dame bhana au Jet lee.
Kinachovutia pale ni ule urembo tu basi.Sijawahi vipenda vya chuma hata siku moja
[emoji23][emoji23]mnigeria unaroho mbaya sana hautaki nilale kitandani kabisaNa unavyorusha mateke,bora uweke godoro sakafuni tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Anarusha mateke kama van dame bhana au Jet lee.
Sijawahi vipenda kwakweliKinachovutia pale ni ule urembo tu basi.
Kuna watu wanavisfia sana eti ina fashion mpya na vimekaa kutumika na vijanaSijawahi vipenda vya chuma hata siku moja
Aaah hapo mafinga baridi utazani kama mvua inanyesha viunyevu unyevu vinadondoka muda wote sio mchezo hapo.Yeah kule kunamfaa,au hata mafinga pale,iringa mjini na njombe[emoji23][emoji23]