Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,231
- 40,730
😀😀😀aisee unaanza kujishangaa na usingizi unaisha faster[emoji23]usinikumbushe nilikua nageuka kumbe niko mwosho wa kitanda nilianguka mpaka leo nalala kwa adabu
😀😀😀aisee unaanza kujishangaa na usingizi unaisha faster[emoji23]usinikumbushe nilikua nageuka kumbe niko mwosho wa kitanda nilianguka mpaka leo nalala kwa adabu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww ni mlalavi itabidi uchongewe kitanda chako special ww 8x8[emoji23]usinikumbushe nilikua nageuka kumbe niko mwosho wa kitanda nilianguka mpaka leo nalala kwa adabu
Namm nimeona ila nadhani alikuwa anaandaa zana za paliziAhaa, niliona kama amelike some posts mda mfupi uliopita ndio maana...
Unaisha mpaka unabaki umeshangaa kwanza[emoji38][emoji38][emoji3][emoji3][emoji3]aisee unaanza kujishangaa na usingizi unaisha faster
Au awekewe kingo pembeni kama madaraja😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww ni mlalavi itabidi uchongewe kitanda chako special ww 8x8
Hahaha ww acha tu nakwambia watu tunalala kama tunapigana karate ndotoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ww ni mlalavi itabidi uchongewe kitanda chako special ww 8x8
Inabidi uwe mpole tuUnaisha mpaka unabaki umeshangaa kwanza[emoji38][emoji38]
😂😂😂😂Hahaha ww acha tu nakwambia watu tunalala kama tunapigana karate ndotoni
Kwahiyo ukajikung'uta ukarudi kitandani kulala sio 😀 😀 😀[emoji23]usinikumbushe nilikua nageuka kumbe niko mwosho wa kitanda nilianguka mpaka leo nalala kwa adabu
😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushaanza habari zako.
Hiyo nikujizoa zoa hadi kwabedKwahiyo ukajikung'uta ukarudi kitandani kulala sio 😀 😀 😀
[emoji38][emoji38]Inabidi uwe mpole tu
Itapendeza sana [emoji23][emoji23][emoji23]Au awekewe kingo pembeni kama madaraja[emoji23]
Hamna namna tutafute fundi tuItapendeza sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Nilihamaki kama dk2 halafu nikarudi bed nikalala mwisho kabisa ukutaniKwahiyo ukajikung'uta ukarudi kitandani kulala sio 😀 😀 😀
Sipendi mtu mlalavi alafu aweanakoroma sasa ndio silali kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha ww acha tu nakwambia watu tunalala kama tunapigana karate ndotoni
Haaha yani unahamaki ukiwa bado uko hini halagu kuamka ss sio leoHiyo nikujizoa zoa hadi kwabed
😂😂😂Nilihamaki kama dk2 halafu nikarudi bed nikalala mwisho kabisa ukutani
Au double decker awekewe awe analala juu kabisa kule ndio dawa ya walalavi.Hamna namna tutafute fundi tu
Mtu hukoroma akiwa kalala hali au kalala vibaya[emoji38][emoji38] unalala tu ukimgusa ananyamazaSipendi mtu mlalavi alafu aweanakoroma sasa ndio silali kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]