Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,231
- 40,730
Namkumbuka,yule ni balaaKuna yule dogo wa korea alienda hadi Nasa akiwa na 12 years. Bonge la genius
Namkumbuka,yule ni balaaKuna yule dogo wa korea alienda hadi Nasa akiwa na 12 years. Bonge la genius
Kuna watu wanafanya deal za siku 580k ndani ya masaa 48 tu.Huyu amekubuu aisee
Deal gani hizoKuna watu wanafanya deal za siku 580k ndani ya masaa 48 tu.
Waliweke kwenye Kamusi sasa....tulitumie rasmiUshaanza kujimwambafai [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
kwani nyie sindio mnasema kino hakuna wanaume ni mchele mchele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muone[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uko poa mpenzi?
Wanacheza na technology tu,sasa hizi laptop zetu wengine nikwaajili ya jf,movie na vitu gani sijui.......Kuna watu wanafanya deal za siku 580k ndani ya masaa 48 tu.
Unawapenzi wangapi humu ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah umenichekesha sana. Kwahiyo wanaume wapo buza na kwingineko?Wa chips vumbi na juice ya muwa
Kim ung-yong ambae aliweza kuongea lugha 4 alipokua na miaka 2, aliweza kufanya hesabu za aljebra akiwa na miaka 3, alialikwa wanafunzi wa fizikia chuoni alipokua na miaka 4, alialikwa Marekani kwenye kitengo cha NASA akiwa na miaka 7, alipata PHD yake akiwa na miaka 15, alikua na IQ ya 210.Namkumbuka,yule ni balaa
Aaah huyo kweli genius mdogo sana alafu hiyo Nasa sio mchezo hiko kitengo.Kuna yule dogo wa korea alienda hadi Nasa akiwa na 12 years. Bonge la genius
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna dogo juzi kalizwa simu wacha nicheke cheza na mateja ww.[emoji23][emoji23]karume bwana udalali siuwezi
Purely genius.Aaah huyo kweli genius mdogo sana alafu hiyo Nasa sio mchezo hiko kitengo.
kwani nyie sindio mnasema kino hakuna wanaume ni mchele mchele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Buza kuelekea goms,chanika,Mkuranga huko........wale unaowaona na baiskeli za mkaa na mayai wakipiga pedal za baiskeli wale wale huku katikati ni al kasusu na juice ya muwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah umenichekesha sana. Kwahiyo wanaume wapo buza na kwingineko?
Huwezi cheza hizo ww mpaka ujulikane na vigogo [emoji38][emoji38]Deal gani hizo
Mkuu inawezekana niwewe tu,au assistant mpenzi
Oni sigara itabidi hapewe hilo neno kwanza alidadavue.Waliweke kwenye Kamusi sasa....tulitumie rasmi
Ah ww na ww bwana basi sisi tupeane za mavumbiniHuwezi cheza hizo ww mpaka ujulikane na vigogo [emoji38][emoji38]
Unawapenzi wangapi humu ?