Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Itakua.Hahaha chiquititta kalala sijui maan kapotea ghafla
Weeeh kumbe mpaka huko nilijua hapa tu nikasema nikutafute nije kuzuga hapo buguruniHadi huku Aisee Tanesco wasumbufu sana
Kwanini nilie?Njoo nikuimbie ulie![]()
Hahahahaha inabidi aje kututajia jina la series na sisi tupoteeItakua.
Au tuchukulie anafanya mambo yake, anaangalia series 😀 😀 😀 😀
Ndio hii itakua karaoke ya kisukumaKwanini nilie?
Kwamba nitaona hela yangu ya kiingilio imeliwa??

0204 amka mkuu0108
Sent using my Audi A62017 model
Ushachukua rungu la lindo?!
Kaenda rainbow kula tunda kimasihara0204 amka mkuu
Na wewe ni musukuma kumbe 😀Ndio hii itakua karaoke ya kisukuma![]()
Weeeh kumbe mpaka huko nilijua hapa tu nikasema nikutafute nije kuzuga hapo buguruni
Hapana mm ni mchina wa macauNa wewe ni musukuma kumbe 😀
Uje na tochi nisije kukuitia mwizi bwanaMpaka huku wamekata eti, sema ndiyo nakuletea Mzigo wako
hahahahahahah, kama mchina hii hela ya kiingilio wacha nikabet.Hapana mm ni mchina wa macau
Hahahaha chezea wasukuma saa wanaimba karaoke ww unaweza cheka mpaka hasira zikakupanda ukaanza kuliahahahahahahah, kama mchina hii hela ya kiingilio wacha nikabet.
Wewe kuna mtu una utani naye.Hahahaha chezea wasukuma saa wanaimba karaoke ww unaweza cheka mpaka hasira zikakupanda ukaanza kulia
Haah nan msukuma kwani nisijechezea maneno hapa nmekomaWewe kuna mtu una utani naye.
Mimi sipo.

Mimi sipo, ngoja kaka yako SYB apite huku 😀 😀Haah nan msukuma kwani nisijechezea maneno hapa nmekoma
Ila ni ukweli nilishawasikia bwana gold cret
Sh![]()