Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,321
- 201,542
Haufiki mpaka umeme umerudi bwana
Hapa Kona kuna chochoro moja naona Raia wametanda sasa nilikuwa na buy time ili iwe safe
Haufiki mpaka umeme umerudi bwana
Hahaha kaza sura hio halafu wasemeshe kama na ww ni muhuni watakuachaHapa Kona kuna chochoro moja naona Raia wametanda sasa nilikuwa na buy time ili iwe safe
Dah mawazo ya usiku yanaweza kukufanya ukeshe mpaka asubuhi bila kupenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kaza sura hio halafu wasemeshe kama na ww ni muhuni watakuacha
Wahi nyama zitapoaSi unanijua Mimi siyo muhuni wameshaondoka tayari ndiyo nasogea
Madai yako usingizi umeekata
Acha tuu, kwani wakati nalinda hapa wewe ulikua wapi😁😁?
Inaitwa,"Usiyempenda kaja😀😀😀".Nilikua nakuzoom kwa mbali.... coz nilijua ukiniona tu lazima utakimbia lindo
Leo ngoma droo.Good night fellas
Nauchelewesha tuuMadai yako usingizi umeekata
Nakuachia kijiti sasa, usiku mwema.Nilikua nakuzoom kwa mbali.... coz nilijua ukiniona tu lazima utakimbia lindo
Leo hunikimbii, Mimi na wewe hadi pakucheInaitwa,"Usiyempenda kaja😀😀😀".
Usifunge wengine tupo mkuu