Aljazeera taarifa zao hazichoshi maana wanakuwa na za motomoto muda mwingiNavutiwa sana na aljazeera naweza kesha nawaangalia ila sio cnn au bbc
Ahaa, poa bcoz hiyo nimekuta ni ya French.Abba s.o.s inaitwa hvyo
HawaAbba s.o.s inaitwa hvyo
Pole sanaWamekata umeme
Hapana siioAhaa, poa bcoz hiyo nimekuta ni ya French.
Wamekata umeme bwana ila jamaa wako vizuri taarifa wanazidadavua mpaka sourceAljazeera taarifa zao hazichoshi maana wanakuwa na za motomoto muda mwingi
Poleni.Wamekata umeme
Haah shuran wanarogo mbaya sana hawa sjui wanakata umeme usiku huu kwannPoleni.
Nimeona, ndio hawa hawa wa "Take a chance"
Wanataka mlale kwa lazimaHaah shuran wanarogo mbaya sana hawa sjui wanakata umeme usiku huu kwann
Haaha hatulali simu zipo fullWanataka mlale kwa lazima
hahahahahahahahaNdio
Take a chance on me![]()
Nmepatiahahahahahahahaha
Yes,huwa wanafurahisha reporter anapokuwa field huku risasi zinarindima pembeniWamekata umeme bwana ila jamaa wako vizuri taarifa wanazidadavua mpaka source
Hawa Abba ni miongoni mwa makundi mazuri kuwahi kutokea.
Hahaha wakati huku hakuna hizo mamboYes,huwa wanafurahisha reporter anapokuwa field huku risasi zinarindima pembeni
Kweli kabisaHawa Abba ni miongoni mwa makundi mazuri kuwahi kutokea.
YeahNmepatia