hahahahahahah, haya bana.Uiii hahahaa hatapita huku yeye hua anakaaa kule tu
Akija namtuliza na picha ya mtt wa kisukuma mwenye minyama tu
Kwako piahahahahahahah, haya bana.
Usiku mwema, ngoja nipumzike.
Ahsante.Kwako pia
Hahahaa nafanyeje kwaniAhsante.
Nimezoa watu wanalike halafu ndio wakoment ila wewe unafanya kinyume 😀 😀
Nina ungo tu, hapa nawasubiri washirika tupae kuelekea kazini..tehUshachukua rungu la lindo?!

Haufiki mpaka umeme umerudi bwanaMpaka huku wamekata eti, sema ndiyo nakuletea Mzigo wako
023402:33
Haha hio kazi yako tusijeumbuka asubuhiNina ungo tu, hapa nawasubiri washirika tupae kuelekea kazini..teh
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha comment muhimu bwana halafu like ni afterUmebadili, hii umelike ndio ukacomment 😀 😀



Itabidi uzoee na hii style yakibabeAhsante.
Nimezoa watu wanalike halafu ndio wakoment ila wewe unafanya kinyume 😀 😀
PoleDah mawazo ya usiku yanaweza kukufanya ukeshe mpaka asubuhi bila kupenda
Sent using Jamii Forums mobile app
02400234
Kwani umewaza nini?Dah mawazo ya usiku yanaweza kukufanya ukeshe mpaka asubuhi bila kupenda
Sent using Jamii Forums mobile app