Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,786
- 45,268
Unamwambia tuu kiustaarabu kama kelele zinakufikia.Mm hapa wanaamka saa11 unaweza lia
Bado kuna mwingine anamaombi usiku kucha akijiskia anapiga hata week nzima sala[emoji23][emoji23] saa0000 keshaanza dadeki