Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,952

🙏🙏🙏Wallah nikigundua kuwa ni wewe moto nitakaokuwashia hautazimika!
Bora usiwe hivyo maana haipendezi kuumiza wengine kwa makusudi
Kuna mtu kaniwashia moto leo hadi nikajiuliza ni wewe nini😀😀😀, nakutania...Wallah nikigundua kuwa ni wewe moto nitakaokuwashia hautazimika!
Bora usiwe hivyo maana haipendezi kuumiza wengine kwa makusudi
Pole sana na karibu tenaWakuu wiki nzima nilichezea kitofali (BAN) bila kufahamishwa kosa...
Kama ilivyo ada nipo kwa hewa sasa...
Najibu salamu .....Nawasalimu watumishi
Salam kwako piaNawasalimu watumishi
Kama una gobole nipe kiongozi.Walinzi huu muda wa kukabidhiwa lindo 2358
😆😆😆😆 sasa kifungo ushatumikia haina haja ya kufungua kesi naupya tena.Wakuu wiki nzima nilichezea kitofali (BAN) bila kufahamishwa kosa...
Kama ilivyo ada nipo kwa hewa sasa...
A moment ago0052
Welcome to the night's watchers0052