Goddess
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 7,397
- 25,836
Ukilewa nnkwani huo ni ukilewa umeambiwa?
Ukilewa nnkwani huo ni ukilewa umeambiwa?
Kuna mtu kakwamisha mambo yangu kwa makusudi. Ila usijali kukicha nitapambana nae mpaka kieleweke japo kuna fursa ameshanipotezea.Kwani kimetokea nini?
Mm hapa wanaamka saa11 unaweza liaUnamasaa 4 tu kama ndio huwa unaamka muda huo.

saa0000 keshaanza dadekiWana makusudi sana aiseeYaani inakera tena saa kumi na mbili ndo hivyo maisha haya tuvumilie hadi tuwe na kwetu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Typing error 😀😀😀 hiyo lakini sio kwamba kana nini usingizi nilikuwa namaanisha huo sio ukilela unaweza fanya mazoezi yoyote tu.Ukilewa nn
Aisee, pole.Kuna mtu kakwamisha mambo yangu kwa makusudi. Ila usijali kukicha nitapambana nae mpaka kieleweke japo kuna fursa ameshanipotezea.
Ubaya wa jf sasa...unaweza kuta mtu mwenyewe ni wewe hapo ila hatujuani tu🤣🤣🤣
Vitu vyakawaida hivyo mbona ni utaratibu wamtu kashajiwekea teyari.Mm hapa wanaama saa11 unaweza lia
Bado kuna mwingine anamaombi usiku kucha akijiskia anapiga hata week nzima salasaa0000 keshaanza dadeki
Ukilela nn tena na wwTyping errorhiyo lakini sio kwamba kwana nini usingizi nilikuwa namaanisha huo sio ukilela unaweza fanya mazoezi yoyote tu.
Unamasaa 4 tu kama ndio huwa unaamka muda huo.
😂😂😂😂 ukilemaUkilela nn tena na ww
Ungekua namuongelea mtu gani ss ungenielewaVitu vyakawaida hivyo mbona ni utaratibu wamtu kashajiwekea teyari.
Utazoea tu hayo mazingira.
Ukilema?! Ushanichanganya achana na hili nenoukilema
Sijui ni kwann? lakini huwa najiuliza wakifanya kimoyo moyo kwani mungu hatosikia?Ungekua namuongelea mru gani ss ungenielewa
Hata kama ni maombo aombe taratibu sio anaomba kama anahubiria kanisa
Hakuna raha ya kua na nyumba jirani na mtu wa hivyo ujue
Mm sielewagi hataSijui ni kwann? lakini huwa najiuliza wakifanya kimoyo moyo kwani mungu hatosikia?
Halafu nakuambia siku imeenda vizuri huku 😂😂😂😂Kuna mtu kakwamisha mambo yangu kwa makusudi. Ila usijali kukicha nitapambana nae mpaka kieleweke japo kuna fursa ameshanipotezea.
Ubaya wa jf sasa...unaweza kuta mtu mwenyewe ni wewe hapo ila hatujuani tu🤣🤣🤣
Kama ile movie ya Kingsman pale church 😁😁😁 watu kilamtu anaongea lake ni vurugu tu.Mm sielewagi hata