Kwa mtazamo wangu unaonekana ww sio muongeaji kabisa acha uwoga kwenye haki yako ongea hakuna wakuongea badala yako unajua.
😀😀 utawaona wakija kufunga lindo saa 0600 huko.Sioni watu lindoni
MTC | 101| [emoji769]
Kwa mtazamo wangu unaonekana ww sio muongeaji kabisa acha uwoga kwenye haki yako ongea hakuna wakuongea badala yako unajua.
Safi sana, tuendelee lindo
Hahahaha, huo sasa sio ulinzi[emoji3][emoji3] utawaona wakija kufunga lindo saa 0600 huko.
[emoji3][emoji3] utawaona wakija kufunga lindo saa 0600 huko.
Leo ndio umeshakesha hivyo unasaa 3 tu.Okay ndio ni kweli i rarely talk , na ni muoga pia sipendi maneno .sio ktk hilo vitu vingi sisemagi npotezea tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo ndio umeshakesha hivyo unasaa 3 tu.
Dah mm nishaanza piga miayo hapa saa 0400 nitalala naona kabisa.nitalazimisha tu usingizi asubuhi ili nilale zaidi pia nilivyorudi nililala nusu saa hivi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mm nishaanza piga miayo hapa saa 0400 nitalala naona kabisa.
Usiku mwema mkuu, karibu tena lindoni upatapo wasaaGood night buddies.
Poa poa.