Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Ukitumia dawa ujue utatumia maisha yote coz unakuwa unalazimisha mfumo kufanya kazi.Pyee muone vile kumbe nan ndo ulitaka akunywe midawa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukitumia dawa ujue utatumia maisha yote coz unakuwa unalazimisha mfumo kufanya kazi.Pyee muone vile kumbe nan ndo ulitaka akunywe midawa[emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna hata nimeshazoea hii hali nikitaka nilale sikuhiyo nifanye kazi ngumu mno ilimwili uchoke ndio nitalala mapema.
[emoji23][emoji23]mm nikilala unaweza nihamisha ukanipeleka hata mtaa wa2 sijui wala siskii hata mfanye nn hasa usingizi wa alfajiri
Mambo yawazungu haya mm siyaweziUkitumia dawa ujue utatumia maisha yote coz unakuwa unalazimisha mfumo kufanya kazi.
Aisee, pole sana.Haikuwa njema hata kidogo, ndo maana niko hapa najaribu kupoteza mawazo maana usingizi umenigomea kabisa. Yako je, ilikuwa poa?
Unakuwa kama gunia vile unalisogeza unapotaka 😀😀😀[emoji23][emoji23]mm nikilala unaweza nihamisha ukanipeleka hata mtaa wa2 sijui wala siskii hata mfanye nn sishtuki hasa usingizi wa alfajiri
Unakua umeukusanya sana ndio maana 😀 😀 😀 😀[emoji23][emoji23]mm nikilala unaweza nihamisha ukanipeleka hata mtaa wa2 sijui wala siskii hata mfanye nn sishtuki hasa usingizi wa alfajiri
Hakuna hata nimeshazoea hii hali nikitaka nilale sikuhiyo nifanye kazi ngumu mno ilimwili uchoke ndio nitalala mapema.
[emoji23][emoji23]nakua sifai yani kuna muda hua nacheka sana maana unaweza shushwa kitandani na ukasombewa kila kitu ndani ukaamka uko sakafuni na ndabi ni kitupuUnakuwa kama gunia vile unalisogeza unapotaka [emoji3][emoji3][emoji3]
Alfajiri raha sana aisee sema ndo muda wakuamkaHuo usingizi nautamani ila ndo hivyo , usingizi wa alfajiri ni mzuri sana huamki kiurahisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenyewe wanaweza juzi nilikuwa naangalia hitman agent 47 kuna Demu ni Co-staring alikuwa natatizo hilo awezi lala mpaka vidonge.Mambo yawazungu haya mm siyawezi
Hahahahaha we acha tu tunatesana kwa zamu mwendo wa kulipiza tuUnakua umeukusanya sana ndio maana 😀 😀 😀 😀
Kwann uliangalia zilipendwa sema ile movie bwana hatar[emoji23]Wenyewe wanaweza juzi nilikuwa naangalia hitman agent 47 kuna Demu ni Co-staring alikuwa natatizo hilo awezi lala mpaka vidonge.
Asante kiongozi.Aisee, pole sana.
Mimi namshukuru Mungu, imeenda vizuri.
Usiwaze sana!!Kumbuka the good moments, ziwaze hizo.
Ahsante, tuombeane na kesho iwe njema.Asante kiongozi.
Kuwaza hakuepukiki, nawaza namna ya kuikabili kesho. Hongera kwa kuwa na siku njema!
😂😂😂 acha kabisa niliikuta azam one wanaonesha naachaje kuangalia sasa kwa mfano lakini I wish itoke 3 story inaendelea catia alitakiwa kufa thus way akawa amekuja muhuni yule 48.Kwann uliangalia zilipendwa sema ile movie bwana hatar[emoji23]
Catia vandis sijui
How do u speak french,mandarin
Catia catch[emoji23] tushaanza karirigi na dialogue
Saa 3000 asaiv inaingia ipo njiani.0208