Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,786
- 45,266
hahahahahahah, umemsahau Okonkwo mkuu?Dah 😂😂😂😂 wavivu wakusoma kama mm sikukuelewa kabisa vitabu vya o level hivyo aah acha tu..
hahahahahahah, umemsahau Okonkwo mkuu?Dah 😂😂😂😂 wavivu wakusoma kama mm sikukuelewa kabisa vitabu vya o level hivyo aah acha tu..
No bruv nimesoma kayumba 😂 kama unavyojua mwalimu anasoma kitabu huku yy ndio translator unapata muda wapi wa kutapa hayo maneno ya kinaigeria.hahahahahahah, umemsahau Okonkwo mkuu?
Ai kuna muda zinazidi bwanaI don't concur with you.
Life is full of challenges and we ve to overcome them ...
Kila mtu anashida sema tumezidiana tu.Ai kuna muda zinazidi bwana
I knowKila mtu anashida sema tumezidiana tu.
Acha uwongo sema usingizi hauna ungekuwanao ungeshalala kitambo.
Yeah, sema hatupaswi kuziona kama tunastahili au tumeandikiwa ni zetu.Ai kuna muda zinazidi bwana
hahahah, haya zima simu.
Tumia dawa kama solution if you don't have other options?I know
Sina usingizi kabisa stress nazimudu ila mazoea yakutolala usiku ndo yananitesa
Acha uwongo sema usingizi hauna ungekuwanao ungeshalala kitambo.
KwakweliYeah, sema hatupaswi kuziona kama tunastahili au tumeandikiwa ni zetu.
Sisi sote tunapitia mambo magumu ni vile hatusemi so nikujipa moyo na kutafuta suluhisho tuu.
Hapana aiseeTumia dawa kama solution if you don't have other options?
YeahKwakweli
Pole wengine haya watatizo ya kukosa usingizi tushakuwa chronic nayo.Huhu hamna i had a long day pia sipatani na mwanga unanikoseha usingiz kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 I knew it you won't agree with that.Hapana aisee
Ila shukran kwa ushauri hun
Ok, poa.Karibu lindoni