Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,360
- 108,504
Nawaona nawaonaTupo mkuu
Nawaona nawaonaTupo mkuu
Lala sisi wezi tuje kung'ofoa hiyo tiviii hapo sebuleniLedizi endi gentromeni usiku mwema,Mungu aendelee kutulinda![]()

Mi ndo rapa naye flow bila beat, nayewapa verse tamu bila risiti/
Nahakikisha kila mmoja nimempa like, naenda kulala jamani nani nimkabidhi kijiti?/
Kwani huji kua usingizi kizungumkuti, yani unaota ndoto umeshika hela ukiamka huikuti/
Nawahi kulala, ili niepuke msala wa kugombea daladala/
Jumatatu kuna foleni jamani sio masihara, boss wangu mkali ukichelewa anakata mshahara/
Natamani kuacha kazi nifungue biashara, naona kama makuzi kufanya kazi na boss uchwara/
Watu8 ndani ya jf usiku wa manane, nina maongezi na wewe njoo tusemezane/
Hivi Chikwuemeka na chiqutitta kwanini wasioane?, majina yao yanafanana ndo sababu imenifanya niseme/
Oyaa mazee! mida basi na hii ndiyo post yangu ya mwisho kwa muda huu tukutane tena baadaye.....
Kila lakheri.....
It's Scars
ww ni rapa mkali sana tatizo lako marole mode wako ndio tatizo kwenye game hawafanyi vzr saiz kama unataingia studio zilebeat zakina uno, baba marko usitumie kabisa bora kidogo za wakazi zipo kisasa kidogo.Mi ndo rapa naye flow bila beat, nayewapa verse tamu bila risiti/
Nahakikisha kila mmoja nimempa like, naenda kulala jamani nani nimkabidhi kijiti?/
Kwani huji kua usingizi kizungumkuti, yani unaota ndoto umeshika hela ukiamka huikuti/
Nawahi kulala, ili niepuke msala wa kugombea daladala/
Jumatatu kuna foleni jamani sio masihara, boss wangu mkali ukichelewa anakata mshahara/
Natamani kuacha kazi nifungue biashara, naona kama makuzi kufanya kazi na boss uchwara/
Watu8 ndani ya jf usiku wa manane, nina maongezi na wewe njoo tusemezane/
Hivi Chikwuemeka na chiqutitta kwanini wasioane?, majina yao yanafanana ndo sababu imenifanya niseme/
Oyaa mazee! mida basi na hii ndiyo post yangu ya mwisho kwa muda huu tukutane tena baadaye.....
Kila lakheri.....
It's Scars
04080407
Sent from myusing Tapatalk
Nipo,nimekuona ulipoingia,tuko pamoja...Night gathers and now our watch begins..It shall not end until our Death. We're the watchers of JF. We're the shield that guards the realms of mens..
Valah Morghulis...
(all men must die)
Hahahaaa all men must serveNipo,nimekuona ulipoingia,tuko pamoja...