Gud vp dude uko frsh?Salamu wakuu nawasalimu
Macho hua wazi wengine ila ndo vile anakua kalalaBuddies niko na swali hapa hivi wale watu wanaotembea wakiwa ndotoni I mean sleepwalker mtu alilala then akiwa kwenye dreams anafanya iledream kiukweli yaan huwa anakuwa macho amefumba au anakuwa anaona kama mtu akiwa normal?
Tunaitikiaje vile?Umofia kwenu!!

Ni wote au baadhi macho huwa wazi?Macho hua wazi wengine ila ndo vile anakua kalala
Ni kilugha au swag?Umofia kwenu!!
Nahisi woteNi wote au baadhi macho huwa wazi?
Kwann unasema hivyo?Some nights are made for torture, or reflection, or the savoring of loneliness
Kumbe na ww ni kina mwaki?Kila la kheri wakuu, muwe na lindo jema
Hii ndiyo post yangu ya mwisho kwa muda huu, mpaka kutakapokucha hapo baadae
Wanyakyusa wanasema "kilabho"
Wasio wanyakyusa huitikia "enna"
It's Scars
Hatulali mambo yanazanguk kichwan kibao,,upweke shidaKwann unasema hivyo?
Unarudia hivyo hivyo(kama sijakosea), kwema?Tunaitikiaje vile?![]()
Ni kilugha cha Nigeria.Ni kilugha au swag?
Hilo sitatizo lako tu, mm pia nayangu yanasumbua kichwani sijuhao wengine?Hatulali mambo yanazanguk kichwan kibao,,upweke shida
Dah 😂😂😂😂 wavivu wakusoma kama mm sikukuelewa kabisa vitabu vya o level hivyo aah acha tu..Ni kilugha cha Nigeria.
Nimeikumbuka kutoka "Things fall apart".
HatarHilo sitatizo lako tu, mm pia nayangu yanasumbua kichwani sijuhao wengine?
I don't concur with you.Some nights are made for torture, or reflection, or the savoring of loneliness