Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,210
- 40,652
Na usingizi utaisha mapema sanaMimi nampa maelezo haya, sitaki shida na mutu kesho nalala.
Na usingizi utaisha mapema sanaMimi nampa maelezo haya, sitaki shida na mutu kesho nalala.
Boss wake ni mwelewa sananaona unamchokoza boss
Ndio waingereza me nawapenda sana kuchagua tarehe kama hii!Kweli aende kwanza,akatoe ushauri kwa boss na hiyo evidence wataruhusiwa kuondoka bila Shaka

We lala tuMimi nampa maelezo haya, sitaki shida na mutu kesho nalala.

Na usingizi utaisha mapema sana
Hautoisha mapema akiamka mwenyewe ataanza kujishtukiaNa usingizi utaisha mapema sana
😂😂😂hakika ni wazalendoNdio waingereza me nawapenda sana kuchagua tarehe kama hii!
Kama walijua![]()
😂😂😂Hautoisha mapema akiamka mwenyewe ataanza kujishtukia
Unawaza na kuwaza jinsi boss mnoko atakapokuuliziaSiku ukitega kazi usingizi hauwi mtamu
Mwelewa mnoo atamungalia kwa jicho la kishujaa,Boss wake ni mwelewa sana
Mnoohakika ni wazalendo

🤣🤣Mwelewa mnoo atamungalia kwa jicho la kishujaa,
Atajisemea kweli Don anafuatilia historia
Mkuu gudi naiti,tuonane kesho studio jioni maana naona unakipajiMi ndo rapa naye flow bila beat, nayewapa verse tamu bila risiti/
Nahakikisha kila mmoja nimempa like, naenda kulala jamani nani nimkabidhi kijiti?/
Kwani huji kua usingizi kizungumkuti, yani unaota ndoto umeshika hela ukiamka huikuti/
Nawahi kulala, ili niepuke msala wa kugombea daladala/
Jumatatu kuna foleni jamani sio masihara, boss wangu mkali ukichelewa anakata mshahara/
Natamani kuacha kazi nifungue biashara, naona kama makuzi kufanya kazi na boss uchwara/
Watu8 ndani ya jf usiku wa manane, nina maongezi na wewe njoo tusemezane/
Hivi Chikwuemeka na chiqutitta kwanini wasioane?, majina yao yanafanana ndo sababu imenifanya niseme/
Oyaa mazee! mida basi na hii ndiyo post yangu ya mwisho kwa muda huu tukutane tena baadaye.....
Kila lakheri.....
It's Scars
Mkuu panga foleni pale upewe gwandaNaomba utambulike uwepo wangu muda huu
0041
Mi ndo rapa naye flow bila beat, nayewapa verse tamu bila risiti/
Nahakikisha kila mmoja nimempa like, naenda kulala jamani nani nimkabidhi kijiti?/
Kwani huji kua usingizi kizungumkuti, yani unaota ndoto umeshika hela ukiamka huikuti/
Nawahi kulala, ili niepuke msala wa kugombea daladala/
Jumatatu kuna foleni jamani sio masihara, boss wangu mkali ukichelewa anakata mshahara/
Natamani kuacha kazi nifungue biashara, naona kama makuzi kufanya kazi na boss uchwara/
Watu8 ndani ya jf usiku wa manane, nina maongezi na wewe njoo tusemezane/
Hivi Chikwuemeka na chiqutitta kwanini wasioane?, majina yao yanafanana ndo sababu imenifanya niseme/
Oyaa mazee! mida basi na hii ndiyo post yangu ya mwisho kwa muda huu tukutane tena baadaye.....
Kila lakheri.....
It's Scars

dah! Umenifanya nicheke kwa sauti usiku huu lol!,