chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,125
Kwahiyo kumbukumbu itafanyika pale Airport dasalama mkuu![]()

mwaka jana muheshimiwa alisema tufanye usafi tu majumbani mwetu,Sijajua mwaka huu inaweza kuwa airport
Kwahiyo kumbukumbu itafanyika pale Airport dasalama mkuu![]()

mwaka jana muheshimiwa alisema tufanye usafi tu majumbani mwetu,ndio waingereza kesho ndo walichukua kila kilichokua chao..![]()
Mwaka huu inawezekana akasema mkafanye usafi maofisini na sisi wakulima tukafanye usafi mashambani/mazizi ya mifugo yetumwaka jana muheshimiwa alisema tufanye usafi tu majumbani mwetu,
Sijajua mwaka huu inaweza kuwa airport
Yani mambo haya ni shida sanaWakati ijumaa kuamkia jumapili,usingizi saa 0430am unakuwa umeisha
😂😂😂boss wako nimwelewa sana,Usijali mkuu iprint tu
Don wake nan sijui
using TapatalkMara nyingi inakuwa vice versaYani mambo haya ni shida sana
Nilimuacha wakati anakabidhiwa silaha za ulinzi,ila anakujaNa aje tu kwa kweli
Sent from myusing Tapatalk
Hahahaha mie simo yakitokea ya kutokea.


Don wake nan sijui
Sent from myusing Tapatalk
Kama ni hivyo bora tu isiwe mapumzikoMwaka huu inawezekana akasema mkafanye usafi maofisini na sisi wakulima tukafanye usafi mashambani/mazizi ya mifugo yetu

Hahahaha mie simo yakitokea ya kutokea.
61 hata sikuwepo nimesikia kwa wazee hapa jirani![]()
Utasaidia ushahidi Mkuu.,...utampeleka hata kwa hap wazeeHahahaha mie simo yakitokea ya kutokea.
61 hata sikuwepo nimesikia kwa wazee hapa jirani![]()
Inakuwa nusu siku mkuuKama ni hivyo bora tu isiwe mapumziko![]()
Kibarua kitaota nyasi shauri yake..boss wako nimwelewa sana,Usijali mkuu iprint tu
Itakusaidia sana,evidence ya uhakikaNdo nishaichukua hii screen
Kweli aende kwanza,akatoe ushauri kwa boss na hiyo evidence wataruhusiwa kuondoka bila ShakaKibarua kitaota nyasi shauri yake..
Tunakutegemea kaka, aende tu kesho akaone mazingira akiona hayasomeki basi achomoke
naona unamchokoza boss