Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,231
- 40,730
Ndiyo mkuuAfadhali
Ndiyo mkuuAfadhali
Tunaingia lindo 0000 kamili hapo kwahiyo jtatu haiko mbaliKesho j3[emoji849]
J3 ina kiherehere cha ajabu sijapata ona
Ila kesho ni uhuru day[emoji42][emoji42]Tunaingia lindo 0000 kamili hapo kwahiyo jtatu haiko mbali
😀😀😀dec 16??Ila kesho ni uhuru day[emoji42][emoji42]
Karibu sana mkuuNawasalimu walinda jukwaa wote
Tupo mkuuNawasalimu walinda jukwaa wote
ndio waingereza kesho ndo walichukua kila kilichokua chao..[emoji4][emoji3][emoji3][emoji3]dec 16??
Sawa mkuu historia nilisoma hadi darasa la 4,hiyo topic ya wao kuondoka itakuwa ilikuwa darasa la 6 hukondio waingereza kesho ndo walichukua kila kilichokua chao..[emoji4]
So kesho pia ni mapumziko[emoji41] waliondoka tarehe kama ya leo, 9 Dec ni siku walikata tamaaSawa mkuu historia nilisoma hadi darasa la 4,hiyo topic ya wao kuondoka itakuwa ilikuwa darasa la 6 huko
Siku yenye usingizi mwingi asubuhi 😡😡😡J3 ina kiherehere cha ajabu sijapata ona
Mwili wote unakuwa mzito kama ulibebeshwa furushi la mawe jana yakeSiku yenye usingizi mwingi asubuhi [emoji35][emoji35][emoji35]
Kwahiyo kumbukumbu itafanyika pale Airport dasalama mkuu😀😀😀So kesho pia ni mapumziko[emoji41] waliondoka tarehe kama ya leo, 9 Dec ni siku walikata tamaa
HakikaSiku yenye usingizi mwingi asubuhi 😡😡😡
Wakati ijumaa kuamkia jumapili,usingizi saa 0430am unakuwa umeishaMwili wote unakuwa mzito kama ulibebeshwa furushi la mawe jana yake
Anakuja mkuu