Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Nisaidie kuuliza, sasa hata kama tunawatenga si itakuwa sababu wao ndio wameanza kututenga kwa kuongea lugha tusiyoielewa wengineNaji anamtenga mwenzake hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisaidie kuuliza, sasa hata kama tunawatenga si itakuwa sababu wao ndio wameanza kututenga kwa kuongea lugha tusiyoielewa wengineNaji anamtenga mwenzake hapa
Naina lindonitroublemaker lindoni
0015
Kwa movie zipi?😂😂😂 director bora kwangu ni Donald Cameron tu sijui huwa anawazaga nn mpuuzi yule ww kama unazidi vigezo vya yule njoo tuingie location budget ni 500M USD
Avatar nkKwa movie zipi?
Donald Cameron hakuwahi ku direct movie inayoitwa avatar, na wala sizani kama kuna director anayeitwa Donald CameronAvatar nk
Usisahau na mabomu 😂😂Lindo, muda wa kugawa risasi huu
Wait 🏃🏃🏃🏃Donald Cameron hakuwahi ku direct movie inayoitwa avatar, na wala sizani kama kuna director anayeitwa Donald Cameron
David Cameron..notable works.Donald Cameron hakuwahi ku direct movie inayoitwa avatar, na wala sizani kama kuna director anayeitwa Donald Cameron
🙇♂️🙇♂️🙇♂️🙇♂️Wa
Wait 🏃🏃🏃🏃
Upo sahihi.. na mwakani kitu kinatoka part 2. Then 2021 part 3Wa
Wait 🏃🏃🏃🏃
I mean James CameronKwa movie zipi?