Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Pooooleee..
Unanikumbusha Lord Petyr BaelishProtectors of realm (JF)
Why do they called him a littlefinger ?Unanikumbusha Lord Petyr Baelish
Kutengwa kuna nadharia nyingi sasa.. unaweza kuta wewe ndio unatutenga kisa lugha tunayotumia. Hujawahi ona school mtu anachukiwa kisa anaongea English vizuri au anajua kujibu maswali
I don't know!Why do they called him a littlefinger ?
Naji anamtenga mwenzake hapaKutengwa kuna nadharia nyingi sasa.. unaweza kuta wewe ndio unatutenga kisa lugha tunayotumia. Hujawahi ona school mtu anachukiwa kisa anaongea English vizuri au anajua kujibu maswali
Umenifanya nianze kuangalia S1 nowI don't know!
No one.Naji anamtenga mwenzake hapa
Jamaa snitch yule na dangulo lakeUnanikumbusha Lord Petyr Baelish
Game of thrones tamu sana,nilikuwa namkubali sana Arya StarksUmenifanya nianze kuangalia S1 now
Sijawahi kuona snitch kama yule.Jamaa snitch yule na dangulo lake
God of many face hahahaGame of thrones tamu sana,nilikuwa namkubali sana Arya Starks
Yani mwingi sana yule mbwa...master plan. ..alimla mate lady sansa aiseeeSijawahi kuona snitch kama yule.
Hata mimi ndio favourite wangu aliyebaki.. she's so brave n smart yaani. Namkubali na Jon snow pia..Game of thrones tamu sana,nilikuwa namkubali sana Arya Starks
Jaqen HegarGod of many face hahaha